Moran CBC Breakthrough Kiswahili Workbook Grade 5 by Moran
Original price was: KSh622.00.KSh560.00Current price is: KSh560.00.
CBC Breakthrough Workbook Kiswahili, Gredi ya 5 ni kitabu cha mazoezi kilichoandikwa kwa ubunifu ili kumpa mwanafunzi nafasi ya kujitathmini. Mazoezi yaliyomo yametungwa kutokana na mada ndogo za Kiswahili cha Gredi ya 5 kulingana na mtaala wa umilisi. Kupitia kitabu hiki, mwanafunzi atahusishwa:
-kuyadurusa mambo muhimu aliyojifunza katika vitabu vya kiada vya Kiswahili vya kiwango hiki kwa kuzirejelea sehemu za Mazingatio.
-kutathmini kiwango chake cha umilisi kwa mujibu wa mtaala wa umilisi
– kuziimarisha stadi za lugha: kusikiliza na kuzungumza, kusoma na kuandika
-kusoma vifungu vya kusisimua vinavyoangazia masuala mtambuko na maaditi
-kutumia tugha ya Kiswahili kwa usahihi katika mawasiliano yake ya kila siku
-kujifunza kutokana na mazingira na jamii yake
-kutumia vifaa vya kiteknolojia ili kuimarisha umilisi wa ujuzi wa kidijitali
-kuuimarisha uwezo wake wa uwazqji kina na utatuzi wa matatizo.
ISBN: 9789966633293
Reviews
There are no reviews yet.