Vituko Vya Meja na Hadithi Nyingine
Original price was: KSh500.00.KSh450.00Current price is: KSh450.00.
Leshan na Aida wanajipata mashakani baada ya kusingiziwa kulichafua darasa lao. Je, nani anayelichafua darasa la wanafunzi wa gredi ya tatu na kuvuruga amani? Nani ndiye mshindi katika mchezo wa taka unaoongozwa na Aida ?
Soma ufahamu jinsi Aida na Leshan wanavyokumbana na changamoto wanapoachiwa Joni wamtunze.
ISBN:9789966623775
Reviews
There are no reviews yet.