Bungabunga na Mwanawe na Hadithi Nyingine by Michelle Makena
Original price was: KSh233.00.KSh210.00Current price is: KSh210.00.
Katika hiki Kitabu cha Bungabunga na mwanawe, mna hadithi fupi fupi ambazo zitaangazia wanafunzi mengi kuhusu lugha ya Kiswahili. Hiki kitabu kimetungwa kusaidia mwanafunzi kujifunza Kiswahili katika hali ya kujiburudisha. Kuna mengi ya kujifunza toka lugha, msamiati na hata utumishi wa misemo na methali. Mitindo tofauti ya ubunifu iliyotumiwa itawezesha mwanafunzi kuelewa mengi.
ISBN: 9780996671750
Reviews
There are no reviews yet.