Mapambazuko ya Machweo na Hadithi – Set Book
KSh544.00 Original price was: KSh544.00.KSh490.00Current price is: KSh490.00.
ISBN: 9789914987195
Related products
-
Ndoto ya Amerika by Ken Walibora
KSh290.00Original price was: KSh290.00.KSh265.00Current price is: KSh265.00.Add to cart“Kwani wewe hujawahi kuota ndoto ya .Amerika?” “Bado,” nikamwambia Madoa. Alishangaa. Akaniambia ikiwa sijaota ndoto ya Amerika basi lazima nina kasoro fulani… Ndoto ya Amerika ni kitabu usichoweza kukiweka chini hadi umeisoma hadithi nzima. Bila shaka kitawasisimua wasomaji wenye umri mdogo na mkubwa pia kwa jinsi kilivyotungwa kwa ufundi mkubwa.
For assistance, call us at +254 793 488207. Stay updated with our latest products and services by liking, following, and sharing our posts on Facebook, Instagram, Twitter, and TikTok.
-
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi – Set Book
KSh544.00Original price was: KSh544.00.KSh490.00Current price is: KSh490.00.Add to cartMapambazuko ya Machweo na Hadithi nyingine ni mkusanyiko wa hadithi fupi wa kipekee kwani umewashirikisha waandishi wenye tajriba pevu katika fani ya uandishi na kuwapa nafasi waandishi wachanga katika tasnia ya uandishi wa kifasihi. Waandishi waliochangia katika mkusanyiko huu wameonyesha ubunifu mkubwa kwa kusawiri uhalisia wa maisha katika mazingira yao tofauti.
Suala la uhalisia wa maisha na mwingiliano wake na fasihi haliwezi kupuuzwa kwani fasihi ni kioo cha jamii.
Mkusanyiko huu una hadithi zenye maudhui mbalimbali na zinazosheheni migogoro itakayowafikirisha wasomoji. Hali kadhalika, huu ni mkusanyiko wa kwanza wa hadithi fupi kuwahi kuchapishwa ulio na idadi karibu sawa ya waandishi wa kike na wa kiume.
ISBN:9789914987195
-
Moran Pearls: President’s Son by Koranteng
KSh550.00Original price was: KSh550.00.KSh495.00Current price is: KSh495.00.Add to cart‘Now that you are the President’s son, you are left with only one thing.’
‘What is it?’
‘The guts and aplomb that go into the President’s son!’
The two rogues would like to reap where they have not sown.
Will Tabi impersonate the President’s son? Will the sugarcoated words be enough to get them to the land of milk and honey?
ISBN: 9789966630254
-
Mshale wa Matumaini Grade 7 (Access) by John Habwe
KSh444.00Original price was: KSh444.00.KSh400.00Current price is: KSh400.00.Add to cartZingo na mama yake wanakimbilia ughaibuni kufuatia mzozo wa kikabila katika nchi yao. Huko ughaibuni wanakabiliwa na matatizo mengi. Zingo anafanya bidii kuyakabili licha ya umri wake mdogo. Hata hivyo, kinachomstaajabisha na kumhuzunisha ni kuhusishwa na baba yake ambaye anatuhumiwa kuwa mhalifu wa kivita. Zingo anabaguliwa na wenzake lakini anapiga moyo konde na kuendelea na masomo yake ambayo sasa yanampa matumaini ya kuyageuza maisha yake ya karaha kuwa ya furaha. Hii ni hadithi ya huzuni inayofunua makovu ya mizozo ya kijamii hasa mizozo hiyo inavyoathiri vijana wadogo.
ISBN: 9789914729931
-
Storymoja Giza la Muda by Storymoja
KSh533.00Original price was: KSh533.00.KSh480.00Current price is: KSh480.00.Add to cartNana anahudhuria sherehe ya kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwa rafiki yake wa chanda na pete, Judi. Huko, anakutana na mwigizaji maarufu ambaye ameigiza kama mhusika mkuu katika kipindi cha runinga kinachowalenga vijana. Papo hapo, Nana anapiga urafiki na mvulana huyo maarufu; urafiki ambao unaishia kuwa majuto.
Giza la Muda ni hadithi inayoangazia changamoto mbalimbali zinazowakabili vijana katika jamii na jinsi ya kukabiliana nazo. Changamoto hizo ni kama vile ushawishi wa marika na mimba za mapema.
ISBN: 9789966623638








Reviews
There are no reviews yet.