Musa na Watekanyara by barabara Kimenye
Original price was: KSh594.00.KSh535.00Current price is: KSh535.00.
Siku ambayo mimi na King Kong tulitekwa nyara ilianza kama Jumamosi nyingine yoyote ile … Anasimulia, Musa, mwanafunzi mtundu zaidi ya wote nchini Uganda, mwanzoni mwa kisa chake cha nne. Naibu wa mwalimu mkuu, Bw Karanja, anaamua kuwa ni lazima marafiki hao, Musa na King Kong, wanyolewe. Wanapofika mjini asubuhi, wanafurahia uhuru wa kutokuwa shuleni – hadi gari aina ya Mercedes Benz linapotokea na kukatiza ghafla raha yao.
ISBN: 9780195738070
Reviews
There are no reviews yet.