Kiswahili Kitukuzwe Kidato Cha 4
Original price was: KSh855.00.KSh770.00Current price is: KSh770.00.
Hili ni toleo jipya la Kiswahili kwa Kidato cha Nne, Kitabu cha Wanafunzi. Kitabu hiki ni cha nne katika mfululizo wa vitabu vinnevya Kiswahili kwa shule za upili.
Kitabu hiki kimefuata mfumo wa elimu wa 8-4-4 na kufanyiwa marudio kulingana na silabasi mpya ya Kiswahili ya 2002 ya Kidato cha Nne.
ISBN: 9789966446114
Reviews
There are no reviews yet.