History and Government Form 2 KLB
KSh711.00 Original price was: KSh711.00.KSh640.00Current price is: KSh640.00.
Related products
-
Stadi za Kiswahili Shughuli za Lugha Kitabu cha Mwanafunzi Gredi 2 by Mwalimu Kipande
KSh428.00Original price was: KSh428.00.KSh385.00Current price is: KSh385.00.Add to cartStadi za Kiswahlli ni Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya 2 ni kitabu cha ziada kilichoandakwa kwa mujibu wa mtaala mpya uegemeao umilisi uliozinduliwa na Taasisi ya Ukuzaji Mitaala ya Kenya (KICD) mnamo Septemba 2017. Kitabu hiki kimejumuisha mada zote kuu na ndogo zilizomo katika ruwaza ya mtalaa ya Kiswahili Gredi ya 2. Isitoshe, mada kuu na ndogo zimepangwa kulingana na jinsi zilivyopongwa katika ruwaza hiyo. Fauka ya haya, yaliyomo yamewasitishwa kwa ubunifu wa hali ya juu kuyaoanisha na umilisi wa kimsingi, masuala mtambuko, maadili miongoni mwa masuala mengine yanayofumbatwa na mtaala mpya uegemeao umilisi. Kitabu hiki kimejumuisha shughuli za aina nyingi za kufanywa na mwanafunzi binafsi, wanafunzi wawili wawili na makundi ya wanafunzi. Kazi na shughuli za wanafunzi wawiliwawili na wanafunzi katika makundi zinadhamiriwa kuimarisha stadi za kusikitiza na kuzungumza na vilevile umilisi wa ushirikiano na mawasiliano. Aidha, kitabu hiki kimesheheni vifungu vya kusoma na vya kuchangamsha vitakavyomsaidia mwanafunzi kuimarisha stadi ya kusoma. Stadi ya kuandika haijaachwa nyuma. Kitabu kinazo shughuli za kutosha za mwanafunzi iii kustawisha stadi ya kuandika.
ISBN: 9789966630308
-
Secondary Physics Form 2 (6th Ed)
KSh711.00Original price was: KSh711.00.KSh640.00Current price is: KSh640.00.Add to cartThis book is the sixth title in the KLB Secondary Physics series. It comprehensively covers the Form Four syllabus as per the new curriculum.
The edition is rich in detail, has numerous worked-out examples and puts emphasis on a practical approach. This enables the learner to appreciate more the concepts under study.
Each title in the series is accompanied by a teachers’ guide which, apart from providing the teacher with vital tips on methodology, gives answers to questions in the revision exercises.
-
Kiswahili Kitukuzwe Kidato Cha 2
KSh761.00Original price was: KSh761.00.KSh685.00Current price is: KSh685.00.Add to cartHili ni toleo la nne la Kiswahili kwa Kidato cha Pili, Kitabu cha Wanafunzi. Kitabu hiki ni cha pili katika mfululizo wa vitabu vinne vyaKiswahili kwa shule za upili.
Kitabu hiki kimefuata mfumo wa elimu wa 8-4-4 na kufanyiwa marudio kulingana na silabasi mpya ya Kiswahili ya Kidato cha Tatu.
ISBN: 9789966448477
-
Chemchemi za Kiswahili Kidato cha 2 by Longhorn
KSh838.00Original price was: KSh838.00.KSh755.00Current price is: KSh755.00. -
The Evolving World Form 2
KSh922.00Original price was: KSh922.00.KSh830.00Current price is: KSh830.00.Add to cartThe Evolving World: A History and Government Course is a new series that comprehensively covers the History and Government syllabus for Secondary schools.
It is skillfully developed to enable the learners understand how the developments in history have influenced various contemporary systems.
It is liberally illustrated and provides exercises at the end of each topic to help students revise the concepts covered, and personally evaluate how much they have understood and can remember.
Reviews
There are no reviews yet.